Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Good try Ayoub, These money mongers have no shame, that plane could have been somewhere providing service for the poor Congolese. I believe this plane can carry over 100 people, couldn't they find something smaller enough for twenty people? I thing we need women in these positions, may experience takes me that they are less selfish as compared to my gender!

    Nawakilisha,

    Mdau N.America

    ReplyDelete
  2. Duuh bwana mtangazaji Inglish is not richabo nini? ze ze ze ze nyingi!

    ReplyDelete
  3. mtangazaji vipi mbona anatangaza kizenji!LOL ahhahha
    mdau paris

    ReplyDelete
  4. Ayoub mimi nakupenda kuchakarika kwako lakini hiyo zungumza yako vunja mbavu kama unataka kuimba au umeonewa.

    ReplyDelete
  5. Najua kingereza sio lugha yetu,lakini nadhani ni vzuri mtu anapiga picha na baadaye anaelezea,sababu inaboa kwa wasikilizaji,kwa kingereza cha kuungaunga

    ReplyDelete
  6. Hongera kaka Ayoub.

    ReplyDelete
  7. Katika historia ya kuangalia habari na waandishi wa habari wa afrika na hasa Tanzania, sijapata kuona au kusikia mtangazaji ambaye anaweza kusimama na kueleza ukweli kama wewe. Wengi wetu tumekuwa woga na ndio maana hata nchi yetu tanzania kuna watu wanaotumia mali za umma vibaya.
    Naomba waandishi wa habari na hasa Tanzania tujifunze kwa maneno machache ambayo amezungumza huyu kaka Ayoub. Tusiwe woga na tunaoishi kwa maisha ya kujipendekeza pendekeza.
    HONGERA KAKA AYOUB NADHANI UMEFUNUA MACHO YA WANAHABARI WALIO WENGI.

    ReplyDelete
  8. kama kingerezache kina umbosauti ya kiswahili wewe chakuwashiani?
    point mmeipata.
    hongera ayubu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...