Home
Unlabelled
mambo ya ayoub mzee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Good try Ayoub, These money mongers have no shame, that plane could have been somewhere providing service for the poor Congolese. I believe this plane can carry over 100 people, couldn't they find something smaller enough for twenty people? I thing we need women in these positions, may experience takes me that they are less selfish as compared to my gender!
ReplyDeleteNawakilisha,
Mdau N.America
Duuh bwana mtangazaji Inglish is not richabo nini? ze ze ze ze nyingi!
ReplyDeletemtangazaji vipi mbona anatangaza kizenji!LOL ahhahha
ReplyDeletemdau paris
Ayoub mimi nakupenda kuchakarika kwako lakini hiyo zungumza yako vunja mbavu kama unataka kuimba au umeonewa.
ReplyDeleteNajua kingereza sio lugha yetu,lakini nadhani ni vzuri mtu anapiga picha na baadaye anaelezea,sababu inaboa kwa wasikilizaji,kwa kingereza cha kuungaunga
ReplyDeleteHongera kaka Ayoub.
ReplyDeleteKatika historia ya kuangalia habari na waandishi wa habari wa afrika na hasa Tanzania, sijapata kuona au kusikia mtangazaji ambaye anaweza kusimama na kueleza ukweli kama wewe. Wengi wetu tumekuwa woga na ndio maana hata nchi yetu tanzania kuna watu wanaotumia mali za umma vibaya.
ReplyDeleteNaomba waandishi wa habari na hasa Tanzania tujifunze kwa maneno machache ambayo amezungumza huyu kaka Ayoub. Tusiwe woga na tunaoishi kwa maisha ya kujipendekeza pendekeza.
HONGERA KAKA AYOUB NADHANI UMEFUNUA MACHO YA WANAHABARI WALIO WENGI.
kama kingerezache kina umbosauti ya kiswahili wewe chakuwashiani?
ReplyDeletepoint mmeipata.
hongera ayubu.