

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ooops! Nimestuka kuwaona dada na shemeji zangu pamoja na marafiki zangu. Hongera kwa kutimiza miaka 50 na Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingine mingi zaidi.
ReplyDeleteBwana Awe Nasi. Amen.
Fidelis.
hi!!!!!!!!! INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" mwe !mwe!mwe !bado mnapaa !!!!
ReplyDeletewatupe ratiba yao na sie wengine wa Melbourne tukawaone pia jamani
ReplyDeletePompi Du nakuona, bab kubwa!!
ReplyDelete(US Blogger)
Hongera Sis Casta kwa kutimiza miaka 50, Mwenyezi mungu akujaalie umri zaidi furaha na kila la kheri.ni furaha kukuona baada ya muda mrefu.
ReplyDeleteSaleh UK.
Hongera Pompy Du, long time !
ReplyDeleteNi mimi rafikiyo- tulipata Kipaimara wote RC Chang'ombe miaka hiyooo
MAISHA YANGU BAADA YA MIAKA HAMSINI
ReplyDeleteAsanteni sana kwa salamu na nawashukuru wote walioshirikiana nasi kusherehekea 'maisha yangu baada ya miaka hamsini'.
Kaka zangu wa Inafrika Band 'surprise' yenu ya kutumbuiza katika sherehe yetu siku ya Jumamosi ilinipa raha sana....Pia nawashukuru kwa kujumuika nasi tena siku ya Jumapili.
Tutawamiss sana mkiondoka mjini Perth.
Casta Tungaraza