INAFRIKA BAND ambao wamo kwenye mchezo wa Mama Afrika unaozunguka Australia. kwa miezi tisa sasa hivi sasa wako jijini Perth ambapo juzi tarehe 6 November waliungana na watanzania wengine hapo Perth kumpongeza Dr Casta Tungaraza (mai waifu wa Profesa MArtin Mhando, Mwenyekiti wa ZIFF na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Murdoch University) kwa kutimiza mika 50.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ooops! Nimestuka kuwaona dada na shemeji zangu pamoja na marafiki zangu. Hongera kwa kutimiza miaka 50 na Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingine mingi zaidi.

    Bwana Awe Nasi. Amen.

    Fidelis.

    ReplyDelete
  2. hi!!!!!!!!! INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" mwe !mwe!mwe !bado mnapaa !!!!

    ReplyDelete
  3. watupe ratiba yao na sie wengine wa Melbourne tukawaone pia jamani

    ReplyDelete
  4. Pompi Du nakuona, bab kubwa!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  5. Hongera Sis Casta kwa kutimiza miaka 50, Mwenyezi mungu akujaalie umri zaidi furaha na kila la kheri.ni furaha kukuona baada ya muda mrefu.
    Saleh UK.

    ReplyDelete
  6. Hongera Pompy Du, long time !
    Ni mimi rafikiyo- tulipata Kipaimara wote RC Chang'ombe miaka hiyooo

    ReplyDelete
  7. MAISHA YANGU BAADA YA MIAKA HAMSINI
    Asanteni sana kwa salamu na nawashukuru wote walioshirikiana nasi kusherehekea 'maisha yangu baada ya miaka hamsini'.

    Kaka zangu wa Inafrika Band 'surprise' yenu ya kutumbuiza katika sherehe yetu siku ya Jumamosi ilinipa raha sana....Pia nawashukuru kwa kujumuika nasi tena siku ya Jumapili.

    Tutawamiss sana mkiondoka mjini Perth.

    Casta Tungaraza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...