Home
Unlabelled
kilimanjaro stazz yaitungua harambee stazz bao 1-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal,
ReplyDeleteIngenoga kama angalau ungeambatanisha majina ya wachezaji wa Tanganyika Stars ktk picha.
Michuzi acha uongo , anayepiga kichwa siyo Mwaikimba na kama uko makini Mwaikimba alivaa jezi namba 20 siyo 19. rekebisha hiyo.
ReplyDeleteMimi.
Halafu huyu kocha simuelewi kabisa, mbona forward mmoja tu kwenye timu (Mwaikimba). Duh sijui kama kweli anataka kushambulia ama anatafuta sare kila mechi maana hapo hata kupata goli inakuwa kama bahati.
ReplyDeleteHongereni kwa ushindi. Kiwango cha Timu hakiridhishi kbs. nina mashaka sana na matokeo wakati wa Tusker ikianza. kiwango sio kizuri kabisa. Mwaikimba punguza maneno. mpira ni miguuni. acha miguu/kiwango chako kiongee sio kila saa uko na waandishi wa habari unajifanya unatoa comments tu! mdomo unakuponza. Na nyinyi waandishi wa habari punguzeni kumpamba mtu sana. Eti mwaikimba nyota wa mchezo! mnachekesha!
ReplyDeleteTanganyika stars??
ReplyDelete