GLOBU YA JAMII INAPENDA KUWAARIFU WADAU KWAMBA MATOKEO RASMI YA UJUMLA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI BADO HAYAJATOKA NA TIMU YA GLOBU HII IMEPIGA KAMBI KATIKA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI KUFUATILIA KWA KARIBU MATOKEO HAYO. TUNASHUKURU WADAU TOKA KILA PEMBE YA DUNIA AMBAO MMEKUWA MKIPIGA SIMU NA KUTUMA EMAIL KUULIZIA NASI TUNAWAOMBA SUBIRA KWANI MARA TU YATAKAPOTOKA TUTAYABANDIKA CHAP CHAP.- MICHUZI
WAWEZA KUFUATILIA MATOKEO
KWA WAKATI WAKO KUPITIA 'MWANANCHI'
KWA MATOKEO YA AWALI


Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania.
Mdau, Tokyo-Japan
Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania
Mdau, Tokyo- Japan
Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania
Mdau, Tokyo- Japan
michuzi vipi bwana sisi tumeona matokeo ya awali ipp wametoa sasa wewe unapiga kambi kwenye tume,tume inaweza kutnagaza hata keshokutwa kama vpi kalale tu!
ReplyDeleteTUNASUBIRI KWA HAMU ANKAL....
ReplyDeleteWapi wewe, matokeo ss mbona tunapata tu. Wewe sema uliokua ukiwasupport wengi wamepigwa chini. Nilikua nakusikilizia kuanzia asubuhi. Yaani wewe ni ccm damu anko
ReplyDeleteAnkel
ReplyDeleteHata kwenye majimbo moja moja huwezi kuptupasha tulioko mbali? Jitahidi tuende na wakati wenzio.
Mtanzania.
Kaka michuzi acha kutubania! mbona kuna sehemu nyingine yameanza kutoka ila kwenye blog yako ata jimbo moja ujatuwekea! tunakutegemea sana kaka!!!
ReplyDeleteMdau Malaysia
Ankal big up kwa uamuzi wako wa kusubiri NEC ili kua na kitu cha uhakika maana NEC ndio yenye mamlaka ya kutanagaza matokeo.
ReplyDeleteMichuzi kwa mara ya kwanza unatulekeza tufuatilie matokeo kwenye tovuti ya gazeti la Mwananchi? Imekuwaje tena kaka?
ReplyDeleteyamekugeukia ha ha haa cahedema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata kama kikwete akishinda sina tene was wasi, bungeni kumejaa chadema tupu! am loving this monday
ReplyDeleteAnkal niaje?
ReplyDeleteDondoo zinahusika kaka kama ilivyokuwa kwenye kura za maoni, fanya hivyo
hahahaha huyooo ngoma yenu ngumuuuu
ReplyDeleteBongo Raadio inarusha matangazo LIVE ya matokeo ya uchaguzi tembelea www.bongoradio.com
ReplyDeleteYAP MMEPATA KIKWETE URAIS TUMEPATA CHADEMA NA CUF UBUNGE! KAZI IPO!!! EHHH MBONA BUNGENI RAHA. IT'S ABOUT TIME! HERE WE COME 2015. HAKUNA MAKAMBA JR WALA RIDHIWANI.
ReplyDelete