GLOBU YA JAMII INAPENDA KUWAARIFU WADAU KWAMBA MATOKEO RASMI YA UJUMLA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI BADO HAYAJATOKA NA TIMU YA GLOBU HII IMEPIGA KAMBI KATIKA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI KUFUATILIA KWA KARIBU MATOKEO HAYO. TUNASHUKURU WADAU TOKA KILA PEMBE YA DUNIA AMBAO MMEKUWA MKIPIGA SIMU NA KUTUMA EMAIL KUULIZIA NASI TUNAWAOMBA SUBIRA KWANI MARA TU YATAKAPOTOKA TUTAYABANDIKA CHAP CHAP.
- MICHUZI
WAWEZA KUFUATILIA MATOKEO
KWA WAKATI WAKO KUPITIA 'MWANANCHI'
KWA MATOKEO YA AWALI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
    Mungu Ibariki Tanzania.


    Mdau, Tokyo-Japan

    ReplyDelete
  2. Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
    Mungu Ibariki Tanzania

    Mdau, Tokyo- Japan

    ReplyDelete
  3. Tunasubiri kwa hamu kuliko kawaida, macho na masikio yana njaa sana na habari hii!
    Mungu Ibariki Tanzania

    Mdau, Tokyo- Japan

    ReplyDelete
  4. michuzi vipi bwana sisi tumeona matokeo ya awali ipp wametoa sasa wewe unapiga kambi kwenye tume,tume inaweza kutnagaza hata keshokutwa kama vpi kalale tu!

    ReplyDelete
  5. TUNASUBIRI KWA HAMU ANKAL....

    ReplyDelete
  6. Wapi wewe, matokeo ss mbona tunapata tu. Wewe sema uliokua ukiwasupport wengi wamepigwa chini. Nilikua nakusikilizia kuanzia asubuhi. Yaani wewe ni ccm damu anko

    ReplyDelete
  7. Ankel

    Hata kwenye majimbo moja moja huwezi kuptupasha tulioko mbali? Jitahidi tuende na wakati wenzio.

    Mtanzania.

    ReplyDelete
  8. Kaka michuzi acha kutubania! mbona kuna sehemu nyingine yameanza kutoka ila kwenye blog yako ata jimbo moja ujatuwekea! tunakutegemea sana kaka!!!
    Mdau Malaysia

    ReplyDelete
  9. Ankal big up kwa uamuzi wako wa kusubiri NEC ili kua na kitu cha uhakika maana NEC ndio yenye mamlaka ya kutanagaza matokeo.

    ReplyDelete
  10. Michuzi kwa mara ya kwanza unatulekeza tufuatilie matokeo kwenye tovuti ya gazeti la Mwananchi? Imekuwaje tena kaka?

    ReplyDelete
  11. yamekugeukia ha ha haa cahedema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata kama kikwete akishinda sina tene was wasi, bungeni kumejaa chadema tupu! am loving this monday

    ReplyDelete
  12. Ankal niaje?
    Dondoo zinahusika kaka kama ilivyokuwa kwenye kura za maoni, fanya hivyo

    ReplyDelete
  13. hahahaha huyooo ngoma yenu ngumuuuu

    ReplyDelete
  14. Bongo Raadio inarusha matangazo LIVE ya matokeo ya uchaguzi tembelea www.bongoradio.com

    ReplyDelete
  15. YAP MMEPATA KIKWETE URAIS TUMEPATA CHADEMA NA CUF UBUNGE! KAZI IPO!!! EHHH MBONA BUNGENI RAHA. IT'S ABOUT TIME! HERE WE COME 2015. HAKUNA MAKAMBA JR WALA RIDHIWANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...