Spika Anne Makinda akiwa katika ofisi
yake mpya tayari kuanza kuchapakazi.
Mhe. Anne Makinda (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikaribishwa rasmi ofisini kwake leo na Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bi. Kitolona Kippa kwa niaba ya Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah
Spika Anne Makinda akitoa maelekezo kwa baadhi ya wakurugenzi waliompokea alipowasilili ofisini kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Spika wa Bunge.
Spika Anne Makinda akipokea taarifa ya utambulisho wa watendaji wakuu wa ofisi ya Bunge kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala (kulia).Picha na Prosper Minja- Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michu hizi picha ni aje maana hata hazionyishi sura za watu. Mpigaji katumia simu au nini?

    ReplyDelete
  2. Unataka sura za nini..wewe jali ujumbe!by the way ofisi ni nzuri sana..namtakia kazi njema na mafanikio katika majukumu yake mapya

    ReplyDelete
  3. Sio anne ni anna makindaaaaaaaa, hivi hii anne mmeiibua wapi?

    ReplyDelete
  4. samahani michuzi sijui jinsi ya kutuma msaada tutani naomba unitangazie natafuta chuo kizuri wanachofundisha english kwa mtu mzima kama mm napenda kujua kimombo kwani elimu haina mwisho plz usidharau ombi langu mdau DAR NA HUWA INANISUMBUA SANA NIKISAFIRI KIBIASHARA HATA KOPYUTA NIMEANZA KUJIFUNZA HIVI KARIBUNI

    ReplyDelete
  5. samahani michuzi una tabia ya kudharau ombi langu,mm ni mdau ndio naanza kujifunza vitu hivi vya kubofya(kopyuta)tatizo langu kubwa lugha ya kiingereza sijui na ninapenda kujua kwani elimu haina mwisho,naomba uniwewkee ili tangazo sijui jinsi ya kutuma nitafuta chuo wanachofundisha lugha ya kiingereza

    ReplyDelete
  6. Mwambie atembelee choo cha wageni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...