Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akimtunukia Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of Public Health,Honoris Causa) wakati wa mahafali ya nne ya Chuo hicho iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto akiangalia ni Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Kisali Pallangyo.
Baadhi ya wahitimu wa digrii ya Udaktari wa Afya ya Meno(Doctor of Dental Surgery) wakila kiapo cha uaminifu na utii wa miiko ya udaktari wakati wa Mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo mchana(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mwenye wivu ajinyonge

    ReplyDelete
  2. kweli hii ni historia siju kama kutatokea kiongozi kutunukiwa digrii kibao kama raisi wa tz JK.

    Mungu ibariki tz na watu wake.

    Mdau France.

    ReplyDelete
  3. ah! Dre, ongeza tu nondozz

    ReplyDelete
  4. Labda zinaweza kumsaidia mtu akaonekana ana akili sana kuliko watu wanavyodhani.

    ReplyDelete
  5. wamtunukie na ya soka, si tumechukua CECAFA?

    ReplyDelete
  6. Guinness record

    ReplyDelete
  7. Mdau wa France, inaelekea umesahau kuwa kuna mtaalamu Julius Nyerere alikula hizo za heshima kama mvua ila hakuwa anapenda kuitwa Dr. reason - hajazisomea. Akaishia kuitwa Mwl.

    ReplyDelete
  8. Namleta kwenu...J kubwa kwa shahada nyingine ya soka endelevu...watu wewe...mdau wa tano nimekubali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...