KESHO JUMAMOSI TAREHE 4/12/2010 KUTAKUWA NA PARTY YA UKWELI KUADHIMISHA MWAKA MMOJA KATIKA BIASHARA.
UTAWALA WA URBAN PULSE UNAWAOMBA NDUGU, JAMAA, MARAFIKI, WAPENZI MASHABIKI,NA NA NUGU ZETU TOKA TANZANIA,KENYA,UGANDA,RWANDA, BURUNDI CONGO NA WAAFRIKA WOTE, WAJE KUSHEHEREKA NASI KATIKA SIKU HII MUHIMU
URBAN PULSE INAWAKARIBISHA WOTE
£5 Kiingilio KUANZIA 10:00PM zaidi baada ya 00.00PM
@ CLUB AMBASSADOR.
20 LONDON ROAD.BARKING IG 118AJ
Sasa how come mnawaalika watu kwenye party halafu walipe kiingilio, vijana kuweni wawazi kama mna promote a night club event wekeni wazi, tutakuja tu na kulipa kama tufanyavyo tunapokwenda kwenye club nyingine
ReplyDelete