Maeneo ya kivukoni Kigongo ambako Mv Sngerema na MV mwanza huhudumia

Mv Mwanza ni kivuko kinachofanya safari kati ya Busisi na Kigongo kutoa huduma kwa wakazi wa Mwanza na Sengerema

MV Sengerema ni kivuko kipya cha Kigongo - Busisi ambacho  kinafanana kiasi  na Mv Kigamboni ambapo hali ya usafiri umekuwa ahueni sana siku hizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2011

    Bravo kwa wahusika.
    Sandag.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2011

    Huyo mwenye kigari cheupe hapo pembeni anachafua mazingira...ataoshaje gari yake hapo bwanaaaa!

    Mdau Nyakalilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...