Ankal akiwa na mdau nambari wani wa Cesena, Italy, Baraka wa Chibiriti walipogongana leo mchana jijini Dar. Kamarade Chibiriti kaibuka baada ya malalamiko ya wadau kibao wa Globu ya Jamii kuwa kapotea sana. Naye anasema yupo gado na anaendeleza libeneke huko Cesena.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2011

    teh, ankal nimependa hizo raba mtoni zako! wacha we!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2011

    Naona ankali uko kwenye yebo yebo! hahaha

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2011

    ankali yebo hizo zimeharibu swags

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2011

    yebo yebo ankali, kusupport soko la ndani muhimu, fagilia!!!!

    ReplyDelete
  5. Misupu huyo CHIBILITI umempa kontakts za Yule Jamaa wa Napoli aliekuwa anatafuta Watanzania wenzake?

    Na huyo Chibiliti wako alishauza ile KOMPYUTA yake yenye KICHOGO?

    ReplyDelete
  6. jembeulayaJune 23, 2011

    Hahaa nyinyi wadau vipi? Michu apo Skuna inapigwa deki pembeni, hizo Yeboyebo ni za shoe polisher, hongera Michu kwa kuwapa tafu wapiga kiwi, ajira kwa wazawa na tuzilinde.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2011

    Ankal kweli unaipenda Yanga hadi umeamua kuwavalia Yebo yebo lol!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2011

    he he he heee chibi kanawiri jaman kuoa kweli raha eee mwenyewe chibiriti weee...kwani yebo yebo kuna watu wametajwa wasivae ama kasumba tu mnaleta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...