Home
Unlabelled
ankal na baraka wa chibiriti wa cesena, italy, aliyeibuka leo dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
teh, ankal nimependa hizo raba mtoni zako! wacha we!
ReplyDeleteNaona ankali uko kwenye yebo yebo! hahaha
ReplyDeleteankali yebo hizo zimeharibu swags
ReplyDeleteyebo yebo ankali, kusupport soko la ndani muhimu, fagilia!!!!
ReplyDeleteMisupu huyo CHIBILITI umempa kontakts za Yule Jamaa wa Napoli aliekuwa anatafuta Watanzania wenzake?
ReplyDeleteNa huyo Chibiliti wako alishauza ile KOMPYUTA yake yenye KICHOGO?
Hahaa nyinyi wadau vipi? Michu apo Skuna inapigwa deki pembeni, hizo Yeboyebo ni za shoe polisher, hongera Michu kwa kuwapa tafu wapiga kiwi, ajira kwa wazawa na tuzilinde.
ReplyDeleteAnkal kweli unaipenda Yanga hadi umeamua kuwavalia Yebo yebo lol!
ReplyDeletehe he he heee chibi kanawiri jaman kuoa kweli raha eee mwenyewe chibiriti weee...kwani yebo yebo kuna watu wametajwa wasivae ama kasumba tu mnaleta.
ReplyDelete