Babu Njenje akinyweshwa madhiwa wakati wa mnuso mdogo wa hepi besdei ya kuzaliwa kwake usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Salenda Bridge jijini Dar
Bi Lulu, bintiye Babu Njenje anayeishi Marekani amlisha keki babaye baada ya kunam-suprise kwa kuja Dar bila baba kujua na kumfanyia mnuso mdogo
Nyota, Babu Njenje, Bi Lulu na Waziri wakimsaidia kukata keki
Bi Lulu afurahi na baba yake, Hawajaonana miaka mitano na leo ka-msapraiz kuibukia Njenje
Babu Njenje akwepa fashifashi za Mwana FA na Nyoyta
Jikeki la Babu Njenje
Kwa picha zaidi
Kama huyu sister Lulu ninaemfahamu anaishi Uingeleza sio Marekani
ReplyDeleteKaka yake ndio tuko nae uku Marekani
Hongera mjomba Njenje na nakutakia kila la kheri
Mimi nimependa hii staili ya kumnyeshwa "birthday boy" maziwa. Ina ashiria jambo zuri sana.Maziwa ndo chakula cha kwanza cha mtoto wa mnyama yeyote (mammals except bats)hapa duniani. Very creative.
ReplyDeletekufika 64?healthy hivo? mshukuru Mungu na umrejee.kuimba basi
ReplyDeletei love njenje.. napenda hata kigari anachotumia babu njenje.. who cares bwana/// yote tunakufa tunayaacha .. fashion has no end.. big up babau Mungu akutangulie katika maisha yako
ReplyDeleteBabu Njenje tunakutakia kila la heri. Mimi nina miaka 28 na ni mshabiki wa muziki wako. Baba yangu pia ni mshabiki wa muziki wako tangu miaka ya 1970's. Kuna wasanii wachache waliojaaliwa nafasi hiyo ya kutumbuiza vizazi viwili/vitatu hapa TZ kama vile mzee Gurumo, wewe na Shakila. Pia msalimie uncle J Kitime. Mimi G Mtasiwa.
ReplyDelete