Babu Njenje akinyweshwa madhiwa wakati wa mnuso mdogo wa hepi besdei ya kuzaliwa kwake usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Salenda Bridge jijini Dar
 Bi Lulu, bintiye Babu Njenje anayeishi Marekani amlisha keki babaye baada ya kunam-suprise kwa kuja Dar bila baba kujua na kumfanyia mnuso mdogo 
 Nyota, Babu Njenje, Bi Lulu na Waziri wakimsaidia kukata keki
 Bi Lulu afurahi na baba yake, Hawajaonana miaka mitano na leo ka-msapraiz kuibukia Njenje
 Babu Njenje akwepa fashifashi za Mwana FA na Nyoyta
Jikeki la Babu Njenje

Kwa picha zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2011

    Kama huyu sister Lulu ninaemfahamu anaishi Uingeleza sio Marekani
    Kaka yake ndio tuko nae uku Marekani
    Hongera mjomba Njenje na nakutakia kila la kheri

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2011

    Mimi nimependa hii staili ya kumnyeshwa "birthday boy" maziwa. Ina ashiria jambo zuri sana.Maziwa ndo chakula cha kwanza cha mtoto wa mnyama yeyote (mammals except bats)hapa duniani. Very creative.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2011

    kufika 64?healthy hivo? mshukuru Mungu na umrejee.kuimba basi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2011

    i love njenje.. napenda hata kigari anachotumia babu njenje.. who cares bwana/// yote tunakufa tunayaacha .. fashion has no end.. big up babau Mungu akutangulie katika maisha yako

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2011

    Babu Njenje tunakutakia kila la heri. Mimi nina miaka 28 na ni mshabiki wa muziki wako. Baba yangu pia ni mshabiki wa muziki wako tangu miaka ya 1970's. Kuna wasanii wachache waliojaaliwa nafasi hiyo ya kutumbuiza vizazi viwili/vitatu hapa TZ kama vile mzee Gurumo, wewe na Shakila. Pia msalimie uncle J Kitime. Mimi G Mtasiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...