Toka shoto ni wapiganaji Angetille Osiah, George Kanuti Njogopa, Aboubakar Liongo, Masoud Masoud, Isaack Muyenjwa Gamba na Ankal wakati wa kajimnuso ka kumkaribisha Abou mjini kalikofanyika Break Point Kijitonyama.
Masoud Masoud a.k.a DJ Neagre Jay (enzi za YMCA disko Toto) alikuja kwenye kamnuso hako na bintize ambao wanaishi ughaibuni. Wote wameshaolewa huko
We Michuzi kwani umeulizwa kama wameishaolew?!!. Kazi kuzibia wenzio tu, huyo wa kati bado acha hizoo. Wewe weka kontakti alafu ondoka.
ReplyDeleteObserver
mabinti wanalipa lakni toooo late!
ReplyDeleteTehe teh tee tee!
ReplyDeleteMichuzi umenifurahisha sana na sentensi yako ya Binti za Masudi Masudi.
Yaani umeweka NUKTA na ALAMA ZA KUFUNGA USEMI na BRAKETS kabisa!
Eti wote wameshaolewa huko. Tehe teh! Maana ulijua waosha vinywa na wabeba Boksi wakishaamka huko maana saa hizi ni usiku huko kwao) WANGECHAFUA HALI YA HEWA.
Tehe teh tee! Me mwenyewe nilitaka kusema lakini ndo basi tena ushaniwahi!
Tehe teh tee!
nimependa sana hiyo line: "Wote wameshaolewa huko", manaake usingewahi jamaa comments zao zingechukua mwelekeo wa kutaka uchumba ili waoe kwa Masoud!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHata kama hawajolewa umeweka ili watu wasiwasumbue, kuna wengine wabishi hawaelewi cha ndoa wala nini. Watawatafuta tuu.
ReplyDeleteikiwa wameolewa shida yako nini? hujaulizwa unajibu kwani kuolewa ni issue we vp? wataachika ili tuwachukue sisi..kama wameolewa unawauzisha nyago ili iweje...koma kabisa...kuolewa kitu gani bwana....mwaga mawasiliano yao tambaa.
ReplyDeleteusitutishe,kuwatafuta tutawatafuta tu.Unataka kubania ridhiki za watu,tu.Usilaaniwe Michuzi.
ReplyDeleteKaka mithupu umenifurahisha sana unakaba mpaka penalti
ReplyDeleteWameolewa na nani? kama wameolewa na wazungu/mzungu basi kwangu mimi hao mabinti ni kwamba bado wapo single tuu. Kama wameolewa na wamatumbi basi nitauheshimu ukweli na kubakia kumezea mate tuu. Mimi namtaka huyo binti aliyevaa nguo nyeusi. Pia nipo ughaibuni na hata akitaka makaratasi (kama bado hajayakamata) basi mimi nitampa makaratasi. Na kama anayo makaratasi tayari, hiyo pia ni kheri tuu.
ReplyDeleteebwana neagre jay anafanya nini siku hizi? mambo ya "treat her like a lady" (temptations)....
ReplyDeleteHata kama wameshaolewa hakuna shinda. Ndio maana huwa kuna nyumba ndogo. They're there for a purpose.lol
ReplyDelete