Baadhi ya warembo watakao panda stage kwenye Vodacom Miss Kagera  Juni 24, mwaka huu ukumbi wa maraha wa Bukoma,  LINAZ CLUB.

Warembo tisa wanaingia kambini kesho Jumamosi katika le DESIRE APARTMNETS, wakati warembo toka Ngara na  Karagwe wakisubiriwa. Mpaka sasa waliokamilika warembo wa  kutoka Wilaya za Bukoba mjini Muleba.

Vodacom Miss Kagera 2011  itapambwa na mwanamziki 20% toka Dar es Salaam.

Wadhamini wetu ni REDDS ORGINAL, VODACOM, COCACOLA, LINAZ NIGHT CLUB, MICHUZI BLOG, Radio KASIBANTE, RADIO VISION FM, na CHANNEL 4 TELEVISION ya hapa Bukoba.

Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mambo ya warembo's...Mkuu tupo pamoja, na kauli ya wanablog ingependeza kama tungetumia neno hili moja `TUPO PAMOJA...daima, au sio ! Ni maoni tu mkuu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2011

    mshiriki toka katerero lazima ashinde

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2011

    Michu naomba jina kamili la mshiri alie katikati ya wenzake ni mhimu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2011

    With all due respect, we mdau uliyesema "mshiriki toka katerero lazima ashinde" una dhalilisha dada zetu na mkoa wa Kagera kwa ujumla.

    Brother Mithupu sijui kama globu ya jamii inakubaliana na huyo anonymous hapo juu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2011

    Lazima huyo kutoka katelero kushinda ni lazima

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2011

    Hapo mimi itabidi nichague mchumba tuu! Maana wasichana wa kihaya, hapo mimi nimekufa. Lakini wahaya wamebadilika sana, kweli wameweka chini magauni yao na sasa wanavaa vichupi na visindiria tu. Au ni mamluki toka miji mingine, nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2011

    Hhmm mbona wanatisha jamani? Bukoba na Tanzania kuna mabiti wazuri lakini nadhani wanawake wazuri hawaingi katika mashindano ya kijinga kama haya. Poleni.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2011

    MMmmh iwe! Mie udenda umenitoka. Ni wazuri sijapata kuona.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2011

    Wahaya huwa wana macho mazuri na sura zao kama watusi!hawa wana macho ya kichina,labda huyo kidogo wa pili kutoka kulia,,,na walivyovaa si heshima kwa wahaya ni kweli warembo wa Kagera wanajiheshimu hawawezi kujitokeza hapo uchi!Hao ni kutokamikoa mingine

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2011

    Kagera oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2011

    Mimi jamani huyo wa mwisho mrefu huyo aiiiiii anavutia sana ukimpata unapata uwezo mara mbili na kazi inabaki kwako

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2011

    Du hatari kweli da unaweza ukauza nyumba hivi watoto teketeke laiiiniii kama unanawa bonyeeee yalaaaaaaaa,we mdau katerero ni sehemu huko kagera na sio tusi.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2011

    Kwani Bukoba wanaishi Wahaya tu? Wapo pia wanyambo

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2011

    Kuna wahaya wenzetu bado wako gizani -- kama hawa wanaoamini "wahaya wanavaa kiheshima" -- tangu lini? Na tuko special kivipi? Ni ushamba fulani ambao haujamtoka mtu huyu japo yuko mtandaoni hapa anatoa maoni. Na ni wajinga kama hawa ndo wanachangia kutokuwepo kwa wasanii wengi zaidi toka mkoani kwetu kwani hata kina Saida Karoli wangekuwa wasikilizaji wa wapuuzi kama hawa wasingeibua vichwa kufanya kazi zao za kisanii. Kwani Flaviana Matata kabila gani? Au Wanyambo ni kweli ni kabila tofauti kabisa na Wahaya? Si mnyambo huyo Flaviana? Au anavaa kiheshima sana kwenye kazi zake huku Marekani ambapo ana mafanikio?? Wahaya wenzetu mnaodhani sie tuko special kiaina mnahitaji kujielimisha zaidi -- acheni upumbavu na ni ujinga huo!!

    Mko safi wadada hapa, na asanteni kutuonyesha Musila -- hicho kisiwa kwa nyuma!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...