Baadhi ya warembo watakao panda stage kwenye Vodacom Miss Kagera Juni 24, mwaka huu ukumbi wa maraha wa Bukoma, LINAZ CLUB. Warembo tisa wanaingia kambini kesho Jumamosi katika le DESIRE APARTMNETS, wakati warembo toka Ngara na Karagwe wakisubiriwa. Mpaka sasa waliokamilika warembo wa kutoka Wilaya za Bukoba mjini Muleba. Vodacom Miss Kagera 2011 itapambwa na mwanamziki 20% toka Dar es Salaam. Wadhamini wetu ni REDDS ORGINAL, VODACOM, COCACOLA, LINAZ NIGHT CLUB, MICHUZI BLOG, Radio KASIBANTE, RADIO VISION FM, na CHANNEL 4 TELEVISION ya hapa Bukoba. Picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
vodacom miss kagera 2011 kuingia kambini kesho huko bukoba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo ya warembo's...Mkuu tupo pamoja, na kauli ya wanablog ingependeza kama tungetumia neno hili moja `TUPO PAMOJA...daima, au sio ! Ni maoni tu mkuu
ReplyDeletemshiriki toka katerero lazima ashinde
ReplyDeleteMichu naomba jina kamili la mshiri alie katikati ya wenzake ni mhimu
ReplyDeleteWith all due respect, we mdau uliyesema "mshiriki toka katerero lazima ashinde" una dhalilisha dada zetu na mkoa wa Kagera kwa ujumla.
ReplyDeleteBrother Mithupu sijui kama globu ya jamii inakubaliana na huyo anonymous hapo juu?
Lazima huyo kutoka katelero kushinda ni lazima
ReplyDeleteHapo mimi itabidi nichague mchumba tuu! Maana wasichana wa kihaya, hapo mimi nimekufa. Lakini wahaya wamebadilika sana, kweli wameweka chini magauni yao na sasa wanavaa vichupi na visindiria tu. Au ni mamluki toka miji mingine, nini?
ReplyDeleteHhmm mbona wanatisha jamani? Bukoba na Tanzania kuna mabiti wazuri lakini nadhani wanawake wazuri hawaingi katika mashindano ya kijinga kama haya. Poleni.
ReplyDeleteMMmmh iwe! Mie udenda umenitoka. Ni wazuri sijapata kuona.
ReplyDeleteWahaya huwa wana macho mazuri na sura zao kama watusi!hawa wana macho ya kichina,labda huyo kidogo wa pili kutoka kulia,,,na walivyovaa si heshima kwa wahaya ni kweli warembo wa Kagera wanajiheshimu hawawezi kujitokeza hapo uchi!Hao ni kutokamikoa mingine
ReplyDeleteKagera oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteMimi jamani huyo wa mwisho mrefu huyo aiiiiii anavutia sana ukimpata unapata uwezo mara mbili na kazi inabaki kwako
ReplyDeleteDu hatari kweli da unaweza ukauza nyumba hivi watoto teketeke laiiiniii kama unanawa bonyeeee yalaaaaaaaa,we mdau katerero ni sehemu huko kagera na sio tusi.
ReplyDeleteKwani Bukoba wanaishi Wahaya tu? Wapo pia wanyambo
ReplyDeleteKuna wahaya wenzetu bado wako gizani -- kama hawa wanaoamini "wahaya wanavaa kiheshima" -- tangu lini? Na tuko special kivipi? Ni ushamba fulani ambao haujamtoka mtu huyu japo yuko mtandaoni hapa anatoa maoni. Na ni wajinga kama hawa ndo wanachangia kutokuwepo kwa wasanii wengi zaidi toka mkoani kwetu kwani hata kina Saida Karoli wangekuwa wasikilizaji wa wapuuzi kama hawa wasingeibua vichwa kufanya kazi zao za kisanii. Kwani Flaviana Matata kabila gani? Au Wanyambo ni kweli ni kabila tofauti kabisa na Wahaya? Si mnyambo huyo Flaviana? Au anavaa kiheshima sana kwenye kazi zake huku Marekani ambapo ana mafanikio?? Wahaya wenzetu mnaodhani sie tuko special kiaina mnahitaji kujielimisha zaidi -- acheni upumbavu na ni ujinga huo!!
ReplyDeleteMko safi wadada hapa, na asanteni kutuonyesha Musila -- hicho kisiwa kwa nyuma!