Juu na chini ni Katibu Tawala wa mkoa wa Kagera, Bw. Nassoro Mnambila akiwasihi wavuvi wadogo wasikitishe maandamano yao yaliyokuwa yanapinga kile kilichodaiwa kuwa ni  hatua ya kaimu afisa uvuvi wa mkoa wa Kagera  kuvunja mitumbwi yao na kuwatoza faini kubwa bila kuwa na makosa, wavuvi hao waliandamana jana hadi kwenye ofisi za makao makuu ya chama cha mapinduzi mkoani Kagera. 
Picha na Na Audax Mutiganzi, Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2011

    huu ni unyanyasaji mtujpu. sasa hao wenye kuvunja mitumbwi yao wana mawazo gani. ajira au misaada yeyote hamuwapi alafu mnavunja mitumbwi yao. hawa watu at least wanavua samaki ili wajitunze wao na familia zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...