Maharusi walimeremeta nyumbani kwa maharusi mtaa wa Agia paraskevi, Athens, Ugiriki, baada ya swala ya Ijumaa 15/07/2011,na kufuatiwa na karamu ya chakula katika ukumbi wa AXUM ambako usiku wake kulikuwa na mnus0 uliojumuisha watanzania,na marafiki wa Kenya,Ethiopia Ghana,na mataifa mengine mbalimbali. Kwa picha za ziada tembelea facebook "WATANZANIA UGIRIKI" pia BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
ASHRAF HASSAN na CHIKU HAMIDU wameremeta athens, ugiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi ungekuwa unaruhusu comment zote ningerudi hapa kucheka sana baadaye. Najua utazibania hivyo sirudi ng'oo!
ReplyDeleteHongera kwa bwana na bibi harusi. Tunamwomba Mola awalinde na awape furaha katika uwenza wenu. Amin.
ReplyDeleteTIKANIS na hongera maharusi. Mdau wa zamani Uyunani (Greece).
ReplyDeletekila mmoja ana haki ya kusema akitakacho na inaonesha wazi mdau wa 09:20:00 alikuwa na nia ya comments HASI na moja kwa moja kajihisi kuwa hapa si mahala pake.Nadhani inapofungwa ndoa Mwenyezi Mungu huwa anawabariki maharusi na hata kama kuna mtu ataekuwa na chuki za kibinafsi hawezi kuushinda uwezo wa Mwenyezi Mungu. MUNGU AWABARIKI WALE WOTE WANAOAMUA KUOANA DUNIANI POTE,NA AENDELEE KUWAFUNGA MIDOMO WALE WOOOTE WENYE CHUKI ZA KIBINAFSI
ReplyDelete