Maharusi walimeremeta nyumbani kwa maharusi mtaa wa Agia paraskevi,  Athens, Ugiriki,  baada ya swala ya Ijumaa 15/07/2011,na kufuatiwa na karamu ya chakula katika ukumbi wa AXUM ambako usiku wake kulikuwa na mnus0  uliojumuisha watanzania,na marafiki wa Kenya,Ethiopia Ghana,na mataifa mengine mbalimbali. Kwa picha za ziada tembelea facebook "WATANZANIA UGIRIKI" pia BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2011

    Michuzi ungekuwa unaruhusu comment zote ningerudi hapa kucheka sana baadaye. Najua utazibania hivyo sirudi ng'oo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2011

    Hongera kwa bwana na bibi harusi. Tunamwomba Mola awalinde na awape furaha katika uwenza wenu. Amin.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2011

    TIKANIS na hongera maharusi. Mdau wa zamani Uyunani (Greece).

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2011

    kila mmoja ana haki ya kusema akitakacho na inaonesha wazi mdau wa 09:20:00 alikuwa na nia ya comments HASI na moja kwa moja kajihisi kuwa hapa si mahala pake.Nadhani inapofungwa ndoa Mwenyezi Mungu huwa anawabariki maharusi na hata kama kuna mtu ataekuwa na chuki za kibinafsi hawezi kuushinda uwezo wa Mwenyezi Mungu. MUNGU AWABARIKI WALE WOTE WANAOAMUA KUOANA DUNIANI POTE,NA AENDELEE KUWAFUNGA MIDOMO WALE WOOOTE WENYE CHUKI ZA KIBINAFSI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...