Home
Unlabelled
Hepi besdei ya kuzaliwa mdau jimmy masue
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera mtaalum wa Information Technology
ReplyDeletekaka hongera sana.uko pande zipi siku hizi?tutafutane kupitia day-vid munisi on facebook!!
ReplyDeletepamoja mzee!!
david-0d06c0
Hepi besdei mtaalam, angalia usisahau huo mdundo hapo nje wajanja watamea nao.
ReplyDeleteHongera Jimmy ...picha ya utotoni ulikuwa unajuwa kupose,,,lakini ukubwana kidogo kaushamba kamekufunika,,Hah Ha Ulikuwa uvumi lakini Ummo!,,,ulijivalia zako yebo yebo na mauwa shingoni,,ooh ooh soo ooo Sweety!
ReplyDeletehahaha hii kali enzi yako ya mwalimu nimependa kweli, ingawa ni ya dot com! Happy birthday mdau!
ReplyDeleteEnzi za Mwalimu hakukuwa na kamera za rangi!!
ReplyDeleteooooh moyo wangu hongera mwaya.
ReplyDeleteWe uliyesema Enzi za Mwalimu hakukuwa na kamera za rangi acha uongo. Mi nina picha za 1978, 1979, 1980 za rangi.
ReplyDelete