Habari Ankal,Nikiwa kama mdau mkubwa wa blog ya Jamii,leo tarehe 25/08 ninakumbuka siku yangu ya kuzaliwa,hivyo naomba uweke picha hizi katika blogu yako.

wako mfuatiliaji wa blog yako

Jimmy Masue
Mdau Jimmy enzi za Mwalimu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hongera mtaalum wa Information Technology

    ReplyDelete
  2. kaka hongera sana.uko pande zipi siku hizi?tutafutane kupitia day-vid munisi on facebook!!
    pamoja mzee!!
    david-0d06c0

    ReplyDelete
  3. Hepi besdei mtaalam, angalia usisahau huo mdundo hapo nje wajanja watamea nao.

    ReplyDelete
  4. Hongera Jimmy ...picha ya utotoni ulikuwa unajuwa kupose,,,lakini ukubwana kidogo kaushamba kamekufunika,,Hah Ha Ulikuwa uvumi lakini Ummo!,,,ulijivalia zako yebo yebo na mauwa shingoni,,ooh ooh soo ooo Sweety!

    ReplyDelete
  5. hahaha hii kali enzi yako ya mwalimu nimependa kweli, ingawa ni ya dot com! Happy birthday mdau!

    ReplyDelete
  6. Enzi za Mwalimu hakukuwa na kamera za rangi!!

    ReplyDelete
  7. ooooh moyo wangu hongera mwaya.

    ReplyDelete
  8. We uliyesema Enzi za Mwalimu hakukuwa na kamera za rangi acha uongo. Mi nina picha za 1978, 1979, 1980 za rangi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...