Aliekuwa kocha wa Team ya Pazi Basketball Club miaka ya 1982-1984 Bw. Keith Buxton (pichani), amefariki dunia juzi katika ajali ya gari.
Mazishi yanategemewa kuwa jumamosi hii Aug 6 2011 huko Philadelphia.
Nitawatumia habari zaidi kuhusu mazishi na address kamili. (Kwa walio karibu na huko wanaotaka kwenda kwenye mazishi.)
Kwa Niaba ya Pazi Basketball Club.
H.A.Khalid - Maryland



INNA lILLAHI WAINNA ILAIHI RAAJIUUN. Mwenyeezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
ReplyDeleteBuxton alichangia kiwangu kikubwa sana katika kukuza basket Tanzania. Rambirambi kwa familia ya buxton na Pazi wote wa miaka ya themanini.