Home
Unlabelled
neshno kwa juu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kitu cha ukweli, kama majuu yaani, du mambo ya benjamini hayo
ReplyDeleteHivi kuna mpango wowote wa huu uwanja kuwa na Parking Kubwa na ya kutosha ya Magari? Uwanja mzuri ila umekosa parking ajabu sana!
ReplyDeleteKwa uwanja tu mashaallah! tatizo timu zetu zinaishia 'istiafrika' tu aghh#$%&^*@"|+_$%%%*
ReplyDeleteBenjamin William Mkapa National Stadium, nimeiona hii sehemu humu online... Mzee wa bling bling si ungefanya mambo kwenye umeme pia, kitu cha kama MW 2500 hivi kingetutoa kichizi...
ReplyDeleteuwanja mzuri lkn hauna`matunzo bado,ukienda siku za mechi yani viti vyote vchafu,vmejaa mavumbi hadi inabidi uvua suruali kusafishia au ubebe kanga ya mkeo na maji ya kilimanjaro upige deki kiti,lol yani home sideki lkn nikiwa nesho napga deki kiti bla kupenda coz husipofanya hivyoukifka home unaulizwa leo mlikuwa mnagalagazana chini yani hawa wanaotunza uwanja huu wanataka kuvunja ndoa zetu
ReplyDeleteUwanja mzuri lkn hauna matunzo na maandalizi wakati wa mechi
tanganyika hiyo kweli nakubali maana sasa ni TANZACHI(tanzania,zanzibar,china)
ReplyDeleteDUH, KWA KWELI UNAPENDEZA. KAMA HUJAFIKAGA BONGO AFU UKACHEKI HII PICHA NA JINA DAR ES SALAAM UNAWEZA SEMA BONGO NI NCHI YA MAZIWA NA ASALI. SASA KIMBEMBE FIKA BONGO KWENYEWE, HIYO FOLENI, HAO MGAMBO WASIO NA ELIMU (SIJUI NIWAITE EL SHABABY)!!!! INAKATISHA TAMAA. DAH, SIJUI TUTASTAARABIKA LINI. YAANI HILO JIUWANJA LILIVYO ZURI NAUPA MWAKA NA NUSU AFU MTUTUMIE IMAGE YAKE.
ReplyDeleteBonge la 'Air oblique photo'.Naona Minazini Bar hapo!!supu ya utumbo kwa kwenda mbele.Picha nzuri kweli,jiji safi kabisa..
ReplyDeleteDavid V