Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kitu cha ukweli, kama majuu yaani, du mambo ya benjamini hayo

    ReplyDelete
  2. Hivi kuna mpango wowote wa huu uwanja kuwa na Parking Kubwa na ya kutosha ya Magari? Uwanja mzuri ila umekosa parking ajabu sana!

    ReplyDelete
  3. Kwa uwanja tu mashaallah! tatizo timu zetu zinaishia 'istiafrika' tu aghh#$%&^*@"|+_$%%%*

    ReplyDelete
  4. Benjamin William Mkapa National Stadium, nimeiona hii sehemu humu online... Mzee wa bling bling si ungefanya mambo kwenye umeme pia, kitu cha kama MW 2500 hivi kingetutoa kichizi...

    ReplyDelete
  5. Niliyepgwa taraka kisa neshnoAugust 30, 2011

    uwanja mzuri lkn hauna`matunzo bado,ukienda siku za mechi yani viti vyote vchafu,vmejaa mavumbi hadi inabidi uvua suruali kusafishia au ubebe kanga ya mkeo na maji ya kilimanjaro upige deki kiti,lol yani home sideki lkn nikiwa nesho napga deki kiti bla kupenda coz husipofanya hivyoukifka home unaulizwa leo mlikuwa mnagalagazana chini yani hawa wanaotunza uwanja huu wanataka kuvunja ndoa zetu
    Uwanja mzuri lkn hauna matunzo na maandalizi wakati wa mechi

    ReplyDelete
  6. tanganyika hiyo kweli nakubali maana sasa ni TANZACHI(tanzania,zanzibar,china)

    ReplyDelete
  7. DUH, KWA KWELI UNAPENDEZA. KAMA HUJAFIKAGA BONGO AFU UKACHEKI HII PICHA NA JINA DAR ES SALAAM UNAWEZA SEMA BONGO NI NCHI YA MAZIWA NA ASALI. SASA KIMBEMBE FIKA BONGO KWENYEWE, HIYO FOLENI, HAO MGAMBO WASIO NA ELIMU (SIJUI NIWAITE EL SHABABY)!!!! INAKATISHA TAMAA. DAH, SIJUI TUTASTAARABIKA LINI. YAANI HILO JIUWANJA LILIVYO ZURI NAUPA MWAKA NA NUSU AFU MTUTUMIE IMAGE YAKE.

    ReplyDelete
  8. Bonge la 'Air oblique photo'.Naona Minazini Bar hapo!!supu ya utumbo kwa kwenda mbele.Picha nzuri kweli,jiji safi kabisa..

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...