Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake, Maria Magdalena na kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.
Home
Unlabelled
DK KAFUMU APOKEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HUYU NDIYE WAZIRI MPYA WA NISHATI NA MADINI ANAEKUJA
ReplyDelete