Mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Mzee Benjamin William Mkapa akituhubia maelfu ya watu katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, jana katika Uwanja wa Sokoni, Nkinga mkoani Tabora.
 Nyomi ikimsikiliza Mzee Mkapa leo
 Mkapa akimnadi mgombea wa CCM Dk Dalaly Kafumu katika mkutano huo
Nani kasema kuna uhasama wa kiitikadi Tanzania? Hapa kijana wa CHADEMA akimsaidia Kijana wa CCM kufunga bendera kwenye kijiti mjini Igunga kudhihirisha kwamba wote ni wamoja kitaifa japo kivyama ni tofauti



 Mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo(Chadema)na Mbunge wa Hai  Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwasha moto kwenye kuhitimisha Rasmi Kampeni za Chama hicho Igunga 
Sehemu kubwa ya Umati wa Wana igunga wakishangilia kwa nguvu Wakati Helikopta ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)ikitua kwenye mkutano wao wa kuhitmisha kampeni zao rasmi jana igunga.
Picha Zote na  mdau Joseph Senga


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kesho magamba lazima mshikishwe ukuta tu

    ReplyDelete
  2. Hivi igunga kulikuwa na chama kimoja tu!!!

    ReplyDelete
  3. Vijana hawa wanaonyesha mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wetu, wote ni Watanzania, tunachotaka ni maendeleo yetu sio uhasama au ufisadi na wizi wa mali zetu. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  4. chadema huwa hawana roho mbaya .....CCM mmhhhhhhhh! U-MIMI-M umewatawala. Nafikiri hata ile oho ya kimungu hawana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...