Prof. Ovchinikov akitoa mada juu ya kuwa Kiswahili kitaweza kushinda 'utandawazi' wa Kiingereza mjini Moscow 2011 na kuwa tuipende lugha yetu kama kina Shaaban Robert, Snow White, Jomo Kenyatta, Patrice Lumumba , Nyerere walivyoienzi lugha ya Kiswahili
Home
Unlabelled
Video ya CHAMA CHA KISWAHILI MOSCOW (CHAKIMO) mada lugha yetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Haya ndio maendeleo tunataka sasa kwa lugha ya Kiswahili kuenea katika ramani ya Dunia nzima!
ReplyDeleteJuzi tu tumejadili kuhusu umbumbumbu wa baadhi ya Watanzania kudhani kuwa kutumia lugha ya Kiingereza katika elimu ndio kuelimika!
safi kabisa..
ReplyDeleteYaani hii video tamu sana!
ReplyDeleteJamani Balozi nyingine igeni mfano wa Ubalozi wa moscow fanyeni mambo yenye maslahi kwa maendeleo ya nchi yetu badala ya kugharamia miziki na kutuonyesha wanawake wakikata viuno.
ReplyDeleteHongera sama Ubalozi wetu Moscow kwa hatua kubwa mliyofanya kuendeleza Lugha yetu ya kiswahili
ReplyDelete