Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransic Cheka (kulia) na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa wa  IBF katika pambano la raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam Aprili 28, 2012. Picha na SuperBoxingCoach

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa kuonekana tu, Cheka ana mwili mkubwa kuliko mwenzake. Kama uzito wako sawa ina maana Cheka kapiga zoezi zaidi kwa hiyo Maugo ategemee kipigo cha mbwa mwizi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...