Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransic Cheka (kulia) na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa wa IBF katika pambano la raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam Aprili 28, 2012. Picha na SuperBoxingCoach
Home
Unlabelled
FRANCIS CHEKA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF aprili 28, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa kuonekana tu, Cheka ana mwili mkubwa kuliko mwenzake. Kama uzito wako sawa ina maana Cheka kapiga zoezi zaidi kwa hiyo Maugo ategemee kipigo cha mbwa mwizi!!
ReplyDelete