





(KWA HISANI YA FULL SHANGWE BLOG)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aIBU! Miaka 77 bila ya hata mara moja kutwaa kombe la Afrika!
ReplyDeletePapic mbona kachukia anaona Yanga wanasherehekea nini?Uongozi bomu mambo hayaendi inavyotakiwa na ukijiuliza sherehe hii ni ya nini hupati jawabu.
ReplyDeleteMiaka 77 hakuna maendeleo kisoka halafu mnsherehekea nini. Hiyo ni mbinu ya kuidhinisha matumizi mabaya ya fedha za klabu. Viongozi wanachofikiria ni kula kile kinachopatikana na si vinginevyo.
ReplyDeletewachezaje mbona hatujawaona katika sherehe au hawahusiki??
ReplyDeleteUkweli ni kwamba Viongozi wetu kuanzia matawi mpaka taifa wamekosa uzalendo kwa Timu yetu. na pia ni dhahiri ya kuwa hauwajali wanachama na wapenzi wake! inatia aibu na inasikitisha sana miaka 77 wanaandaa sherehe kificho. katika hali ya kawaida wangetangaza hadharani utaratibu ambao unatumika kuandaa sherehehii. ili mwanachama au mpenzi wa Yanga aweze kuhudhuria kwa kuwa ni haki yake anatakiwa afanyeje au achangie nini! hata hivyo katika sherehe hiyo wametumia shilingi ngapi kwa kuwaalika wageni wangapi? na wamekusanya shilingi ngapi? je, wangetengeza T Shirt, khanga, vitenge, au vishika funguo hata 2,000 tu wangepata shilingi ngapi? je si njia mojawapo ya kupata mapato na kuwafanya wanachama na wapenzi kuwa pamoja? hawajajifunza kwa serikali ilivyoandaa miaka 50 ya Uhuru? nasikitika sana nilipiga kura lakini kura zangu zilipotea bure! wakati wengine wanasusa kupiga kura wakati wa Uchaguzi niliwaona wajinga, hawana akili na hawaitakii mema Yanga. kumbe mimi ndio bwege! Viongozi wetu Yanga ebu jitahidini kuleta mabadiliko yenye tija kwa wanachama. Uongozi wa kiujanja kama mtu fulani aliyefungwaga jela akatoka kwa msamaha anavyowaongoza wenye mikia. kiukweli tumechoka porojo na hii hali iliyopo. wakati mwingine unaweza kujuta kuwa mpenzi wa mpira lakini kwa kuwa Mungu kaleta neema kama hii ya kuwa na Timu nzuri kama Yanga unajipa moyo labda baadae itakuwa shwari! ukiangalia picha hao wageni walioalikwa unaweza kucheka kwa kweli! sijui wametumia vigezo gani! dah! NCHUNGA na wenzako iokoeni Yanga jamani. Umoja na Mshikamano wetu viko wapi?
ReplyDelete