Assalam alaikhum,
Jumuiya ya Watanzania London UK-(TA-London), inapenda kuchukua fursa hii kuwaalika kwenye Hitma ya Marehemu Aziz Shaween na Mzee Jaffar Kawawa itakayofanyika siku ya Jumamosi Tarehe 18-February.2012.
 Muda ni  saa nane  kamili mchana.
Mahali ni Muslim Community Centre-Eton Road.Off Ilford Lane.
Post Code IG1 2UE.
Vituo vya Train vya karibu ni Barking Station au Ilford Station.
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa Tanzania Association kwa email zifuatazo:
Wote Mnakaribishwa.
Haruna Mbeyu
 Katibu wa Jumuiya ya Watanzania London.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunawashukuru sana kwa kuandaa jambo hili hili jema.Ama hakika Balozi Azeez alikuwa mtu wa watu katusadia wengi hapa UK.Moyo wake uliku wa huruma na utu kama alivyokuwa kaka Othman.

    Mmefanya la maana kumkumbuka kwa vitendo.

    Rest in Peace InshaAllah ndugu yetu na kipenzi wetu Azeez.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...