Assalam alaikhum,
Jumuiya ya Watanzania London UK-(TA-London), inapenda kuchukua fursa hii kuwaalika kwenye Hitma ya Marehemu Aziz Shaween na Mzee Jaffar Kawawa itakayofanyika siku ya Jumamosi Tarehe 18-February.2012.
Muda ni saa nane kamili mchana.
Mahali ni Muslim Community Centre-Eton Road.Off Ilford Lane.
Post Code IG1 2UE.
Vituo vya Train vya karibu ni Barking Station au Ilford Station.
Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa Tanzania Association kwa email zifuatazo:
Wote Mnakaribishwa.
Haruna Mbeyu
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania London.
Tunawashukuru sana kwa kuandaa jambo hili hili jema.Ama hakika Balozi Azeez alikuwa mtu wa watu katusadia wengi hapa UK.Moyo wake uliku wa huruma na utu kama alivyokuwa kaka Othman.
ReplyDeleteMmefanya la maana kumkumbuka kwa vitendo.
Rest in Peace InshaAllah ndugu yetu na kipenzi wetu Azeez.