Mchezaji wa timu ya Yanga Haruna Niyonzima akichuana na beki wa timu ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii jijini Dar es salaam, Mpira umekwisha na Yanga imefanikiwa kuitandika Mtibwa Sugar Magoli 3-0
Refarii wa mchezo huo akinyoosha mkono wake juu kuashiria timu ya Yanga ipige mpira wa adhabu kuelekea lango la timu ya Mtibwa Sugar.
Mmoja wa Mashabiki wa timu ya Yanga akiwa amejipaka masizi usoni mwake ikiwa ni moja ya staili ya ushangiliaji kwa timu yake. Picha na John Bukuku


Mhhhhh, Ankal, ukiona meusi tu basi ni masizi?! Ni rangi spesho hiyo, toa ushamba wa mwaka 47 hapa, chama kubwa hilo!
ReplyDeleteWabongo bwana! Anapanda juu ya hilo chuma akiling'oa atasema serikali hatunzi uwanja kwani angeshangilia kawaida bila kutaka kuleta uharibifu ingekuwaje?
ReplyDeleteWashangilie hivihivi siku watakapocheza na Zamalek.
ReplyDeleteMdau wa kwanza Anonymous wa Thu Feb 09, 03:08:00 AM 2012
ReplyDeleteMhhhhh, Ankal, ukiona meusi tu basi ni masizi?!
Hujamsoma ,tatizo Ankal ni Bwawa la Maini,,,sasa kwa itikadi watu wenye msimamo huo wana kale kamnyama mnyama hivi.......
Hakuna cha rangi spesho wala nini, hayo ni masizi ya mkaa. Hiyo ndio rangi spesho ya mashabiki wa Yanga kama hawa.
ReplyDeleteWewe Mdau wa tatu hapo juu:
ReplyDelete''Washangilie hivi hivi watakapocheza na Zamalek''
Wewee Yanga Bomba bana,,,Mwarabu ataelekezwa Kibla na atakula KISU!
ELEWA:
1.Mchinjaji mara zote aonapo Mnyama hupata uchu!,,,na kusogeza kisu karibu!
2.Mara zote Mchinjaji huchagua 'mnyama' aliyenona!
3.MARA ZOTE (IKIWEPO ZAMALEK) NI KAWAIDA KWA 'WANYAMA' KUCHINJWA!