Mdau, TID, Dagna na Mangweir wakiingia ndani ya kiota kipya cha burudani cha ZIZI'S Grill kilichoko Oysterbay (usoni pa sheli ya BP, mkabara na Maisha Club) jijini Dar tayari kuanza shoo yake ya kila Ijumaa na TOP Band usiku huu ambapo wadau kibao wamefika na kukubali kwamba TOP IN DAR in top!
TID na vijana wake wakikupa Old is Gold.
TOP BAND iko fiti...
TID akirusha mistari ndani ya ZIZI'S usiku huu na kila Ijumaa usiku...
Sasa huyu amekuwa ni true musician. Mtu inabidi upige live jukwaani kuthibitisha kuwa una kipaji siyo kunga'ng'ania kurekodi muziki wa kutengenezwa na computer au kupiga playback katika 'concert'. Namvulia kofia TID, Lady Jay Dee, Banana Zorro na wasanii wengine wa kizazi kipya ambao wanamudu kupiga muziki live jukwaani.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu Anonymous Fri Mar 23, 10:29:00 PM 2012
ReplyDeleteHawa Wana Sanaa kama TID ,Banana Zoro na Jay Dee ndio wa kutuwakilisha kwa Safari za Ughaibuni kwa kwenda kutumbuiza huko badala akina Milli & Vanilli wetu Tanzamia,(Milli & Vanilli) waliwahi kushika chati Marekani kwa Muziki lakini wakaja Pokwa Taji kwa utegemezi wa Kuimba kwa kughushi kwa siri wakitegemea Computer !
Hongera TID na Top Band. Naungana na wasemaji waliotangulia. Kaza buti mwanangu kwani una kipaji. Pia umewatengezea ajira vijana wenzako. Mie ni mama wa makamo lakini naukubali mziki wenu
ReplyDeleteSIO HAO SIJUI KINA CHID BENZ NYOKO,SIJUI, ALI KIBA , SIJUI FID Q UPUUZI MTUPU TID UWE MFANO WA WENGINE HAO WANAOTEGEMEA COMPUTER
ReplyDeletemdau london