Mdau, TID, Dagna na Mangweir wakiingia ndani ya kiota kipya cha burudani cha ZIZI'S Grill kilichoko Oysterbay (usoni pa sheli ya BP, mkabara na Maisha Club) jijini Dar tayari kuanza shoo yake ya kila Ijumaa na TOP Band usiku huu ambapo wadau kibao wamefika na kukubali kwamba TOP IN DAR in top!
 TID na vijana wake wakikupa Old is Gold.
 TOP BAND iko fiti...
TID akirusha mistari ndani ya ZIZI'S usiku huu na kila Ijumaa usiku...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa huyu amekuwa ni true musician. Mtu inabidi upige live jukwaani kuthibitisha kuwa una kipaji siyo kunga'ng'ania kurekodi muziki wa kutengenezwa na computer au kupiga playback katika 'concert'. Namvulia kofia TID, Lady Jay Dee, Banana Zorro na wasanii wengine wa kizazi kipya ambao wanamudu kupiga muziki live jukwaani.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza hapo juu Anonymous Fri Mar 23, 10:29:00 PM 2012

    Hawa Wana Sanaa kama TID ,Banana Zoro na Jay Dee ndio wa kutuwakilisha kwa Safari za Ughaibuni kwa kwenda kutumbuiza huko badala akina Milli & Vanilli wetu Tanzamia,(Milli & Vanilli) waliwahi kushika chati Marekani kwa Muziki lakini wakaja Pokwa Taji kwa utegemezi wa Kuimba kwa kughushi kwa siri wakitegemea Computer !

    ReplyDelete
  3. Hongera TID na Top Band. Naungana na wasemaji waliotangulia. Kaza buti mwanangu kwani una kipaji. Pia umewatengezea ajira vijana wenzako. Mie ni mama wa makamo lakini naukubali mziki wenu

    ReplyDelete
  4. SIO HAO SIJUI KINA CHID BENZ NYOKO,SIJUI, ALI KIBA , SIJUI FID Q UPUUZI MTUPU TID UWE MFANO WA WENGINE HAO WANAOTEGEMEA COMPUTER

    mdau london

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...