Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe,Issa Ntambuka,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania, Mhe,Ali Davutoglu,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Mhe,James Alex Msekela,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu - Zanzibar.
Hawa mabalozi wanaowakilisha nchi zao TZ wamefika kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar kwakuwa ni wapya, na huyu wa TZ anewakilisha Tanzania kule Italy nae anajitambulisha? Hii ni protocal mpya sasa.
ReplyDeleteLibeneke oye!