Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe,Issa Ntambuka,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania, Mhe,Ali Davutoglu,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar Kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Mhe,James Alex Msekela,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu - Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa mabalozi wanaowakilisha nchi zao TZ wamefika kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar kwakuwa ni wapya, na huyu wa TZ anewakilisha Tanzania kule Italy nae anajitambulisha? Hii ni protocal mpya sasa.

    Libeneke oye!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...