Home
Unlabelled
Waziri Mkuu akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DR. KIMEI UNASTAHILI SIFA,MAFANIKIO YA CRDB NI MAKUBWA SANA, TENA IKIONGOZWA NA WEWE MWAFRIKA MWEUSI,TOFAUTI NA FINANCIAL INSTITUTIONS ZINAZOONGOZWA NA WEUPE HAPA NCHINI, UNANIKUMBUSHA ENZI ZA The late DR.AMON NSEKELA WA NBC ALIVYOFANIKIWA SANA KUIJENGA NBC(mungu amlaze mahali pema peponi), dr. Kimei keep it up, hakuna kama wewe hapa nchini, ANAYEKUKARIBIA NI DR. DAU WA NSSF ALIVYOIENDELEZA NSSF NA MIKE LIZER WA SIDO, HAKIKA MNASTAHILI PONGEZI ZA DHATI, NASITA KUSEMA MPEWE UWAZIRI MSIJE MKAWA KAMA CHARLES KEENJA ALIVYOVURUNDA BAADA YA KUFANYA VIZURI TUME YA JIJI AKAPEWA UWAZIRI AKACHEMSHA VIBAYA, thanks Dr.(Kimei and Dau),long live comrades !
ReplyDeleteMdau wa kwanza naona umemaliza kwa kutoa sifa STAHILI,
ReplyDeleteNionapo Watanzania kama hawa kwa hakika jambo moja tu, MNATUPA SABABU SADIFU ZA KUJIVUNIA,
Mungu awabariki sana na muendelee kuwa vioo mbele ya wengine na kuthibitisha TUNAWEZA,
Matukio-Amani OleAfrika Aranyande Chuma
I support you the first mdau, let Kimei remain at CRDB, Laizer SIDO na Dau NSSF wakipewa tu uwaziri watarubuniwa na serikali ya kifisadi nao watakuwa mafisadi.Keep it up doctor Kimei.
ReplyDelete