Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, DK.Charles Kimei, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. DR. KIMEI UNASTAHILI SIFA,MAFANIKIO YA CRDB NI MAKUBWA SANA, TENA IKIONGOZWA NA WEWE MWAFRIKA MWEUSI,TOFAUTI NA FINANCIAL INSTITUTIONS ZINAZOONGOZWA NA WEUPE HAPA NCHINI, UNANIKUMBUSHA ENZI ZA The late DR.AMON NSEKELA WA NBC ALIVYOFANIKIWA SANA KUIJENGA NBC(mungu amlaze mahali pema peponi), dr. Kimei keep it up, hakuna kama wewe hapa nchini, ANAYEKUKARIBIA NI DR. DAU WA NSSF ALIVYOIENDELEZA NSSF NA MIKE LIZER WA SIDO, HAKIKA MNASTAHILI PONGEZI ZA DHATI, NASITA KUSEMA MPEWE UWAZIRI MSIJE MKAWA KAMA CHARLES KEENJA ALIVYOVURUNDA BAADA YA KUFANYA VIZURI TUME YA JIJI AKAPEWA UWAZIRI AKACHEMSHA VIBAYA, thanks Dr.(Kimei and Dau),long live comrades !

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza naona umemaliza kwa kutoa sifa STAHILI,

    Nionapo Watanzania kama hawa kwa hakika jambo moja tu, MNATUPA SABABU SADIFU ZA KUJIVUNIA,

    Mungu awabariki sana na muendelee kuwa vioo mbele ya wengine na kuthibitisha TUNAWEZA,

    Matukio-Amani OleAfrika Aranyande Chuma

    ReplyDelete
  3. I support you the first mdau, let Kimei remain at CRDB, Laizer SIDO na Dau NSSF wakipewa tu uwaziri watarubuniwa na serikali ya kifisadi nao watakuwa mafisadi.Keep it up doctor Kimei.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...