Home
Unlabelled
ujumbe wa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KUWA NA FUNGU SI LAZIMA UMETIA TIMU ZE SKULI.MKINGA HUYO
ReplyDeleteDu!!! message sent
ReplyDeleteya ukweli hii
ReplyDeleteJamani sijui jinsi ya kupost hii info ili isitokee kama comment but ni msaada, Michuzi tafadhali naomba tuwekee orodha ya watu waliopata viwanja awamu ya pili kigamboni tafadhali maasa last time walipost kwenye website yao lakini hivi vya awamu ya pili hawajaweka na hata yale waliyokuwa wameweka kwa mara kwanza wametoa
ReplyDeleteAngeandika "Hakuna Mjadala" angeeleweka zaidi. Sijui ni kwa nini tunapenda kutumia lugha tusiyoijua vema!!
ReplyDeleteAminia...kiswanglish
ReplyDeletesiyo siri wengi wetu watanzania kizungu kinatubiga chenge kukiandika na kukisoma isiwe shida sana jambo hili kwa sababu si lunga yetu muulize nchini au mfaransa etc kama wanakifagilia sana kizungu, ni kweli inatubidi tujifunze lakini ni jambo dogo sana siyo kulivalia njuga na kuja kuliweka haradhani hapa kwenye blog yako michuzi
ReplyDeletekumbuka ukijua wewe hili kuna linginewe hulijui binadamu wote si sawa.
acheni kuwasanif watu mnaacha kuzungumzi maneno ya maana mafisadi wana kula nchi kila leo na kukaa vikao na kongamano watu wanakufa bure bure halafu leo mnaleta mzaha pumba tuuu
It makes sense phonetically, to be fair!
ReplyDeleteHumour is important in the blog, basi nyie mnataka kukisifa CHADEMA humu, wengine hatuna vyama wala hatuna interest. Kuna mtu amesema humu 2015 anataka Rais muadilifu na mcha Mungu hata kama kachanganya vimada na kuzaa nao.!!!!!!!30
ReplyDeleteAnonymous said...
ReplyDeletesiyo siri wengi wetu watanzania kizungu kinatubiga chenge kukiandika na kukisoma isiwe shida sana jambo hili kwa sababu si lunga yetu muulize nchini au mfaransa etc kama wanakifagilia sana kizungu, ni kweli inatubidi tujifunze lakini ni jambo dogo sana siyo kulivalia njuga na kuja kuliweka haradhani hapa kwenye blog yako michuzi
kumbuka ukijua wewe hili kuna linginewe hulijui binadamu wote si sawa.
acheni kuwasanif watu mnaacha kuzungumzi maneno ya maana mafisadi wana kula nchi kila leo na kukaa vikao na kongamano watu wanakufa bure bure halafu leo mnaleta mzaha pumba tuuu
Thu Jul 26, 06:09:00 PM 2012
KWA WATU TUNAOTAFUTA VYOTE HABARI NA UTAMU WA LUGHA, KWA HAKIKA TUKO MATATIZONI SANA. WATANZANI WENGI HATUJUI VIZURI KISWAHILI TUNACHOKIDHARAU NA TUNABABAISHA KIINGEREZA TUNACHOKIPAPATIKIA !
sesophy
Ni 'NO DISCUSSION' na sio 'NO DESCUTION'
ReplyDeleteJamani twende English tuition ku polish lugha zetu!