Mweyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowass ( Mb) na Waziri Mkuu Mstaafu akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Brigedia Generali, Dkt. Charles Muzanila kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) wakati wa kikao cha majadiliano na kubadilishana mawazo kilichofanyika siku ya pili ya ziara ya kikazi ya Ujumbe wa NUU. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Makazi ya Balozi yaliyoko eneo la Dobbs Ferry.
Mkutano wa kubadilishana mawazo ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya NUU mara baada ya wajumbe wa Kamati hiyo kutembelea na kukagua majengo yanayomilikiwa na Serikali. Aliyesimama ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Esaka Mugasa, akijibu na kutoa maelezo kuhusu hoja zilizoulizwa na Mwenyekiti, Mhe. Edward Lowassa.
Inakuwaje wabunge wafanye ziara wakati wa kikao cha bajeti? Hii si sawa iangaliwe upya.
ReplyDeleteSi tu wafanye ziara wakati wa bajeti bali pia wakati Taifa lipo kunako hatihati ya usalama wao Kiafya na hususan utabibu na matibabu!1 Hii hiingii akilini! Pls Mtua anisaide kujua hii imikaaje!
ReplyDelete