Bendi ya Brass ikitumbuiza wakati wa hafla hiyo
Balozi mpya wa tanzania nchini oman Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akipokea saluti ya wimbo wa Taifa wa Tanzania alipowasili Al Shamookh palace , Nizwa, Oman .Kushoto kwake ni mkurugenzi wa Royal Protocol ya Oman leo
Balozi Ali Ahmed Saleh akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Sultan Qaboos bin Said wa Oman leo |
Mheshimiwa Balozi Ali Ahmed Saleh akiwa katika mazungumzo na Sultan Qaboos Bin Said baada yakuwasilisha hati zake za utambulisho leo.
the palace looks very simple
ReplyDelete"the palace looks very simple" ? Because they have money!!
ReplyDeleteTheir majlis are always simple! The material used in each area you see are of high quality.
ReplyDeleteBut if you get a chance to visit the other areas then you will understand the luxury incorporated into the their palace
lete video na inaonekana kuwa hii ilitoka kwenye taarifa ya habari na tunaomba picha clear
ReplyDeleteZaidi ya hayo hii nchi ya Oman inaonekana pamoja na kuwa na uhusiano wa zaidi ya miaka 500 na Tanzania hawajafanya investments kubwa kama tunavyoona wa China na nchi zinginezo. The same can be said of UAE na GCC countries.
Nashauri tuzidishe na tuziwezeshe Tanza trade kwenye ofisi za balozi zetu nje na hali kadhalika tujitahidi na sisi kuwekeza kwenye nchi hizo kwani investments zinaweza kuwa ni 2 way traffic
-Mdau,Barking, London