Bendi ya Brass ikitumbuiza wakati wa hafla hiyo
 Balozi mpya wa tanzania nchini oman Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh akipokea saluti ya wimbo wa Taifa wa Tanzania alipowasili Al Shamookh palace , Nizwa, Oman .Kushoto kwake ni mkurugenzi wa Royal Protocol ya Oman leo
Balozi Ali Ahmed Saleh akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Sultan Qaboos bin Said wa Oman leo 
Mheshimiwa Balozi Ali Ahmed Saleh  akiwa katika mazungumzo na Sultan Qaboos Bin Said baada yakuwasilisha hati zake za utambulisho leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. the palace looks very simple

    ReplyDelete
  2. "the palace looks very simple" ? Because they have money!!

    ReplyDelete
  3. Their majlis are always simple! The material used in each area you see are of high quality.
    But if you get a chance to visit the other areas then you will understand the luxury incorporated into the their palace

    ReplyDelete
  4. lete video na inaonekana kuwa hii ilitoka kwenye taarifa ya habari na tunaomba picha clear

    Zaidi ya hayo hii nchi ya Oman inaonekana pamoja na kuwa na uhusiano wa zaidi ya miaka 500 na Tanzania hawajafanya investments kubwa kama tunavyoona wa China na nchi zinginezo. The same can be said of UAE na GCC countries.

    Nashauri tuzidishe na tuziwezeshe Tanza trade kwenye ofisi za balozi zetu nje na hali kadhalika tujitahidi na sisi kuwekeza kwenye nchi hizo kwani investments zinaweza kuwa ni 2 way traffic

    -Mdau,Barking, London

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...