TOYOTA HARRIER
2003 MODEL
ENGINE: 2360cc (VVTi)

FUEL: PETROL

DUTY - FULLY PAID!
PRICE: 45m
Middlemen discouraged...

CONTACT:  0753 047 577



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Unachukua cash

    ReplyDelete
  2. Mdau Anonymous wa kwanza wa Tue Aug 07, 07:22:00 PM 2012

    .....Unachukua cash

    Hicho ndio kiama tulichonacho Watanzania cha kugharimia kila kitu kwa fedha taslimu (cash).

    Kama unavyoona 'Tofali nne na nusu' yaani mabunda 4 ya 10 Mil. na nusu (Milioni 45 ) kwa manunuzi ya gari.

    Yaani hatuna Credit facility kuweza kununua kitu kwa dhamana na malipo yakafanyika kwa awamu na kutufanya kujitoa muhanga kwa mahitaji mengine ya pesa kama ni ya ngama endapo mtu unaamua kununua kitu kama gari!

    Bongo tumeyazowea!

    ReplyDelete
  3. Cash money ndio mtindo was kisasa has kwenye hii recession.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...