Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya,Ngoma Africa Band Siku ya Jumamosi 11.8 .2012 walishambuli jukwaa na la International Africa Festival 2012,Tubingen,Ujerumani,na kuhakikishia washabiki kuwa FFU ni tishio la kimataifa !
Kiongozi wa bendi Ras Makunja alikabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya "International Diaspora Award" kwa niaba ya bendi hiyo.

hiii! Kikimanda ketu na kikosi cha watoto wa mbwa aka ffu,aka wazee wa virungu mwe mwe mwe mwe mwe
ReplyDeletemjege na Tukuyu
hiii! Kikimanda ketu na kikosi cha watoto wa mbwa aka ffu,aka wazee wa virungu mwe mwe mwe mwe mwe
ReplyDeletemjege na Tukuyu