Dada yetu mpendwa Sumayi (pichani) ametutoka ghafla na kutuachia mwana leo hii 

Sumayi alikuwa nyumbani Tanzania kwa safari ya kuwaona wazazi na kumpeleka mtoto wake kwa wazazi atimae mungu amemchukua huko huko nyumbani.

Kifo ni kifo na kila mja lazima ataonja umauti kuna wanao aga pindi umauti unapokaribia na kuna wanaokwenda kwa mola pasi na kuaga.

Sumayi umelejea kwa muumba bila kusema marafiki zangu ndugu jamaa zangu mimi Sumayi narudi kwa muumba mbingu na ardhi na nina kuachieni mwana mkae nae kaa mlivyo kaa nami umeshindwa Sumayi.

 Nasi hatuna budi kusema tutakukumbuka daima.mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

AMIN 

INNA LILLAH WAINA ILAI RRAJUUN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. poleni sana inalilahi waina ilayhi rajiun

    ReplyDelete
  2. nimesikitika sana

    ReplyDelete
  3. Ahsante kaka Lyban kwa kujali pia tumefarijika kukuona kisomoni
    mungu akuzidishie roho ya imani na akupe kila lililo la kheri
    INSHALLAHA

    ReplyDelete
  4. INNALILLAH WA INA ILAIHI RAJIUN,


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...