Dada yetu mpendwa Sumayi (pichani) ametutoka ghafla na kutuachia mwana leo hii
Sumayi alikuwa nyumbani Tanzania kwa safari ya kuwaona wazazi na
kumpeleka mtoto wake kwa wazazi atimae mungu amemchukua huko huko nyumbani.
Kifo ni kifo na kila mja lazima ataonja umauti kuna wanao aga pindi umauti unapokaribia na kuna wanaokwenda kwa mola pasi na kuaga.
Sumayi umelejea kwa muumba bila kusema marafiki zangu ndugu jamaa zangu mimi Sumayi narudi kwa muumba mbingu na ardhi na nina kuachieni mwana mkae nae kaa mlivyo kaa nami umeshindwa Sumayi.
Nasi hatuna budi kusema tutakukumbuka daima.mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
AMIN
INNA LILLAH WAINA ILAI RRAJUUN
poleni sana inalilahi waina ilayhi rajiun
ReplyDeletenimesikitika sana
ReplyDeleteAhsante kaka Lyban kwa kujali pia tumefarijika kukuona kisomoni
ReplyDeletemungu akuzidishie roho ya imani na akupe kila lililo la kheri
INSHALLAHA
INNALILLAH WA INA ILAIHI RAJIUN,
ReplyDelete