Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya kuongoza kikao cha kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri . Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi yawazi Mkuu).


waziri mkuu anavyotembea na mikogo ananikumbusha ile cinema ya simba (lion king)na ule wimbo mashuhuri wa 'hakuna matata' hakuna matata hakuna matata
ReplyDeleteHahahaaa!
ReplyDeletethey both look sharp. Big up big guys. Nahisi wako makini na afya zao kwa ujumla!!!
ReplyDelete